-
1
Fungua akaunti
Chagua Mtu binafsi, Jumuiya au Taasisi. Inachukua dakika chache.
-
2
Omba au tafuta
Jaza fomu ya huduma unayohitaji kupitia dashibodi yako.
-
3
Lipa bili
Tumia control number kupitia mitandao ya simu au benki.
-
4
Pata majibu
Fuatilia hali na upakue cheti chako au PDF.